Sunday, 8 January 2012

Mwakole.

Thank you guys for attending M'mbondo Get Together Party of January 07 2012 dedicated in Memory of Victims of the Massacre of  Makobola Fizi.We appreciate that you have all  attended . We thank our dintinguished guests : COCOWA  representatives  and  Mr. Kachuchu Rashidi . We are grateful for the organising Committee: Mr Joskat Said , Mr. Philbert Bilombele, Mr Heritier Mchapa, Mr. Tumaini Magorwa , Mr .Elisee Alonda Lwe'ya and Mr Christian Mwenelokole .
We apologise for any unforeseen events .
On behalf of Emo 'ya M'mbondo of WA.

Philbert Bilombele A.(MIR),
Secretary General.

Tuesday, 3 January 2012

Emo 'ya M'mbondo get together party 2011

Emo 'ya M'mbondo wishes to invite all its members to attend its  Annual Get together Party dedicated in Memory of the Victims of the Massacre of Makobola which took place from 29th December 1998 to 2nd January 1999.  The party shall be held at Balga Community Centre on  Saturday ,07 January 2012 at 16:00.

Philbert  Bilombele (Mr.)

HAPPY NEW YEAR 2012

Emo 'ya M'mbondo Community of WA is wishing a happy new year 2012 to all its members .
Mwaa wa M'mbese wa Ngene.

Sunday, 24 April 2011

WORKSHOP ON M’MBONDO CULTURAL AWARENESS :Call for expression of interest

Emo ‘ya M’mbondo WA is currently seeking volunteers to express their interest to speak in public about M’mbondo culture in July 2011. The incumbent speakers must know the in-depth of M’mbondo Culture to take part to this initiative, which will discuss a variety of issues such as Socio-cultural aspect of M’mbondo community, the Politics and Economy of M’mbondo culture.
This will be an opportunity for the Australian community at large to understand M’mbondo, its values and culture as part of Australian heritage.  This workshop will be run in a form of seminar or conference and will include many individual guests, NGOs and government officials from all over Australia. The main topics to be discussed include the following:
1.       Social structure of M’mbondo Community
·         History of M’mbondo migration
·         Genealogy ( Ibúcwa) : Mioka, Lúshi na lobolo
·         Marriage (Búkonda and Túleba)
·          Wisdom and Proverbs  (Malango and túlebe)
·          Death (Luu or mi’weci)
·          Birth (Ebyele)
·         Illness(Malwaci) and medicine(bútee or mite)
·         Dances (Maina such as Mlebo, Mkúnga,Ekúnda,Lúmamba,Akolomwang’ya)
·          Social institutions (Bioo and/or bibúa) such as Botende, Púnga,Ilanda, Alúnga , Búte, Búkanga,
2.       Economy of M’mbondo (Butunga): People , land and agriculture
3.       The Politics of M’mbondo Society
·         Early Kingdoms
·         chieftainship or Bwami,
·         Wars : from pre-colonial to current
·         Massacres and genocides: from Makobola to Ekyomba
4.       NGO mushrooming: Challenge and opportunities
5.       Development indicators
·         Poverty
·         Illiteracy rate
·         Unemployment
·         Life expectancy
·         Maternal death rate
·         Pre-natal death rate
6.       The challenges facing M’mbondo community in Australia and overseas
7.       Conclusion
At the end of this workshop, a collection of presentations will be made and published for the interest of the future generations. If you think you can , please do not hesitate to send your expression of interest to:  mbondowa@gmail.com
Regards,
Mr.Philbert Bilombele,A.
Secretary General.

Saturday, 23 April 2011

Kheri ya Pasaka

Emo 'ya M'mbondo Community of WA inawatakia wanachama wake wote kheri ya Pasaka. Tunaimani kwamba kifo cha Yesu Kristu  kimewagomboa walio wengi  kwani utukufu wake hauna mwisho.
Phil.

Friday, 22 April 2011

MI'WECI, MIOMO

Emo 'Ya M'mbondo  Community of WA inayo masikitiko yakutangaza kifo cha Nd.Saidi Madwi MAKELA kilichojitokeza  hapo jana kule  Washington CR. Nd. MAKELA ni mzaliwa wa Sangya (Mshimukuma) na aliishi miaka mingi pale Kambini Nyarugusu.
Mungu aiweke mahali pema Roho ya Marehemu Makela.
Tangazo imetolewa na 
Offisi ya Katibu Mkuu,
Emo 'ya M'mbondo WA.

HOTUBA YA KATIBU MKUU KWENYE KIKAO CHA TAREHE 03/04/2011

Ndugu waalikwa,
Ninayo furaha kubwa ya kua mbele yenu siku ya leo.  Nimelazimika kuchukua mzigo huu mkubwa kabisa wa kuongoza  Emo ‘ya M’mbondo hapa Perth . Kama mwana member wa Emo ni haki yangu ya msingi  kuchagua au kuchaguliwa. Hivo basi, nazani kwa ushurikiano wenu, wote tutaweza kufanya Emo ‘Ya M’mbo Perth kuwa Jamii moja, imara na yenye maendeleo .
Hii ni zamiri yangu tu. Ila watakao lifanikisha hili ni nyinyi. Tunaweza kufikia hapo kwa kubadili tabia  zetu ambazo mizizi yake imejikita kwenye mambo madogo madogo kama vile: misiba, kujifungua kina mama wajawazito, harusi ao tafrija.Hapa namaanisha “ malanda o bonga male malya”.
Kwa sasa lengo la uongozi wetu ni mshikamano ,mipango na maendeleo.  Tujiulize Emo ‘ya M’mondo ilianza lini duniani?  Nani alianza Emo ‘Ya M’mbondo duniani? Iko wapi? Emo iliisha fanya nini kwa Wabembe Duniani ,Australia ,Perth, Congo, au Fizi?
Jibu ya maswali yote hayo ni kwamba, Emo ‘Ya M’mbondo ina historia kubwa. Ilianza tangu kuzaliwa koo za  M’bembe wa Kwanza na  kililenga maendeleo yao. Ila ,hadi sasa maendeleo   wabembe  ni machahche sana duniani ukilinganisha na makabila mengine ambayo ni jirani zetu.
Utofauti wetu ni upi? Ukweli ni kwamba  Wabembe tumeshindwa kupanga miradi ya maendeleo. Ama tukipanga , hatuendelei. Tunayo mifano mingi sana: SOCODEFI, ACCOREFI, ASMAKU, BDC/Mshimbakye, bila kusaau kanisa la Methodist Libre. Ukweli ni kwamba mipango bila mshikamano hakuna maendeleo. Je , leo tunaitaji kupanga kama wale waliotutangulia? Wapi walipo kosea ili tusikosee na sisi ?  Ukweli ni kwamba “kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa” ,kama tunavyo sema kwenye Kibembe kwamba “Mbama ya lúkendo ekyo lala ya lúngwa”. Leo natamani kuwaambia mipango yetu.
1.       Mwaka huu kutakuepo na  vikao vya baraza kuu vitatu (Mwezi huu, mwezi wa sita au juna   pia mwezi wa saba). Lengo  nikuchukua maamuzi muimu ya Emo.
2.       Pia tutakua na ziara mbalimbali kwenye ma offisi ili tupate fursa ya kukitangaza Emo kwa wafazili, waisani na wawekezaji  mbali mbali.
3.       Tutakua na seminar mwezi wa  saba . Lengo la seminar hii nikufaamishana mila na desturi za kibembe, maendeleo ya kibembe  na wabembe sehemu mbali mbali . Tutapata fursa ya kuwaita  wabembe wa maeneo mbalimbali ili waje  tubadilishane uzowefu na kujua kile ambacho tunatakiwa kufanya katika ulimwengu huu wa utanda wazi ambao kizazi cha kwanza cha M’mbondo akikupata bahati yakuona.
4.       Tutakua pia na sherehe za kumbukumbu ya  Mauwaji  ya makobola ilio fanyika tarehe 29 -31 /Dec.1998. Hii fursa tutaitumia kufaamisha ulimwengu mzima kilichotufanya tuache maskani yetu nakuweza kujikuta hapa Australia.
5.        Hatutaishia hapo tu, tuna lengo la kukusanya Dollar 10,000 (elfu kumi) mwaka huu  ili tuweze kuwa na miradi mbali mbali ya maendeleo kama vile Shop na Centre Culturel  ya Wabembe.
6.       Tutakua pia na maswala mbalimbali ya Jamii: Kina mama, vijana, wazee. Tutaweza kutembelea kina mama walio jifungua  na watu wenye matatizo mbalimbali.
7.       Uchaguzi wakamati mpya itakuepo mwezi  wa kumi na mbili.
Ndugu zangu,
Kazi hii ni kubwa sana  kama mutaikubali. Inaitaji msaada wenu. Msaada wa hali na mali kufanikisha hili. Naomba kamati kuu irizie mabadiliko yafuatayo kwenye katiba:
1.       Sheria ya mapato na usimamizi wa fedha: Kila mwana member atakaye shindwa kutowa mchango wake wa iyari ,achukuliwe hatua za kinizamu kama kusimamishwa uwana chama wake  na  kunyimwa haki za uwana chama kama  kuchagua na kuchaguliwa .
2.       Sheria ya Matumizi ya Chama: Tunapo jikuta kwenye bank tuko na dollar 3,000 bila kujua tufanye nazo nini ndo hapo tuna nunua kile ambacho hatuitaji. Tunavitu kwenye Emo , ambavyo si vya lazima au havitumiki : Guitars, Keyboard ,etc. Hivi vitu ni lazma tuvifanyie kazi. Ivyo basi, tunaomba Watendaji wa chama wawezeshwe ili kazi yao iwe yenye kukamilika: usafiri na mawasiliano.
3.       Malipo au Michango ifanyike directly kwenye Account ili kupunguza  usumbufu.
4.       Kila mwisho wa mwaka , members  wapewe Certificates of donation ili wapate ku claim donation tax rebate.
5.       Emo iwe na Muhuri wake kama Chama.
Ndugu zangu,
Mambo mengine yanaweza jitokeza  hapo baadaye. Mabadiliko tutakabiliana nayo. Nawakilisha hoja  Kamati  kwenu kama Baraza kuu ili muweze kujadili .Túle bani ,tuikange ifumba.
Asante.
Maitre Philbert Bilombele,  A. (MIR)
Katibu Mtendaji.