Emo 'Ya M'mbondo Community of WA inayo masikitiko yakutangaza kifo cha Nd.Saidi Madwi MAKELA kilichojitokeza hapo jana kule Washington CR. Nd. MAKELA ni mzaliwa wa Sangya (Mshimukuma) na aliishi miaka mingi pale Kambini Nyarugusu.
Mungu aiweke mahali pema Roho ya Marehemu Makela.
Tangazo imetolewa na
Offisi ya Katibu Mkuu,
Emo 'ya M'mbondo WA.
No comments:
Post a Comment